Uchafuzi wa mazingira

Sauti 09:27
Kilimo cha mahindi
Kilimo cha mahindi RFI

Uchafuzi wa mazingira bado ni changamoto inayoyakabili mataifa.Wataalamu mbalimbali wa masula ya mazingira wanasema, moja ya vitu ambavyo inatakiwa kupunguza kama si kudhibiti ni utumiaji wa viwatilifu katika kilimo. Basi makala ya “Mazingira Leo Dunia Yako kesho”, yanaagazia juu ya athari za matumizi ya viwatilifu.Ungana na Ebby Shabani Abdallah...................