Siha Njema

Tatizo la afya ya uzazi

Sauti 09:50
Wanawake wajawazito
Wanawake wajawazito RFI

Tatizo la afya ya uzazi limeandelea kutajwa kuwa tatizo linaongoza kwenye vifo vya wanawake duniani wanawake 800 wametajwa kufariki kila siku wakati wanapojifungua. Makala ya Siha Njema juma hili inaangazia juu ya tatizo hilo.Ungana na Ebby Shabani Abdallah..................