Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Ufugaji wa nyuki

Sauti 09:47
Nyuki akitafuta chakula
Nyuki akitafuta chakula RFI

Makala haya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho”, yanaangazia juu ya umuhimu wa ufugaji wa nyuki unaonekana kuwa na tija kutokana na kusaidia kukua kwa kipato cha watu na nchi. Lakini pia imeelezwa kuwa ufugaji nyuki umekuwa ni chanzo cha kusaidia utunzanji wa mazingira hasa katika kukabiliana na ukataji miti ovyo, uchomaji wa moto misitu ikiwemo uharibifu wa vyanzo vya maji katika bara la Afrika.Ungana na Ebby Shabani Abdallah.............