Siha Njema

Uzazi wa mpango

Sauti 10:15
Mwanamke mjamzito
Mwanamke mjamzito RFI

Kuna njia zaidi ya 3 za uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango kwa lugha nyepesi ni pale mke na mume kwa hiari zao na ukinaifu wao, wanatumia njia ambazo wanaziona zinafaa kutoa mwanya baina ya mimba na nyingine. Makala ya “Siha Njema” juma hili yanangazia juu ya njia za uzazi wa mpango.Ungana na Ebby Shabani Abdallah.................