Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Uharibifu wa mazingira

Sauti 09:30
uchomaji wa mkaa
uchomaji wa mkaa RFI

Makala ya “Mazingira Leo Dunia Yako kesho” Juma hili yanaangazia kuhusu ukataji miti, uchomaji wa mkaa pamoja na shughuli nyingine haramu katika msitu, ambazo zimekua zikichangia kwa kiasi kikubwa kwa uharibifu wa mazingira, ambao umekua ukisababisha hali ya mabadiliko ya tabianchi. Ungana na Ebby Shabani Abdallah....................