Siha Njema

Magonjwa ya saratani ya moyo na kiharusi

Sauti 10:10
Kuku wakipewa dawa
Kuku wakipewa dawa rfi

Magonjwa ya saratani ya moyo na kiharusi ni miongoni mwa magonjwa ambayo yanaua watu wengi ulimwenguni, huku chanzo kikubwa kikitajwa kwamba majonjwa haya yanatokana na lishe, basi katika makala haya ' Siha Njema”, tunajadili ni jinsi gani usindikaji wa vyakula kwa jina la kemikali kunavyo changia kuenea kwa magonjwa hayo.Ungana na Ebby Shabani Abdallah..............