Siha Njema

Fahamu kuhusu Homa ya Dengue

Imechapishwa:

Homa ya dengue ni moja ya ugonjwa ambao unaosababishwa na kirusi ambacho kinaenezwa na mbu wa aina ya Aedes,Ugonjwa huu ulithibitishwa kuwa tishio katika nchi nyingi katika ukanda wa Afrika mashariki huu taarifa zikionesha idadi hii ya wagonjwa imeongezeka mara mbili kuliko siku za nyuma.Makala ya Siha njema jumaa hili inaangazia juu ya ugonjwa huu ambao hauenezwi kutoka binadamu mmoja kwenda kwa mwingine bila ya kuwepo na kuumwa na Mbu mwenye vimelea.

Flickr/
Vipindi vingine
  • 06/06/2023 09:29
  • 31/05/2023 10:07
  • 25/05/2023 09:28
  • 16/05/2023 10:03
  • 09/05/2023 10:03