Siha Njema

Tatizo la Ukosefu wa Usingizi

Sauti 06:30
Jeff Wall - Insomnia - 1994 - Transparency in lightbox - 172 x 213.5 cm
Jeff Wall - Insomnia - 1994 - Transparency in lightbox - 172 x 213.5 cm Jeff Wall

Mtu mwenye afya nzuri, anahitaji kupata usingizi wa angalau saa saba mpaka nane za kulala kila usiku ili kuwa na afya bora lakini hivi karibuni watu wengi wamekuwa wakisubuliwa na tatizo la kukosa usingizi (insomnia),basi makala ya siha njema juma hili itangazia juu ya Sababu za mtu kukosa usingizi na athari za ukosefu wa usingizi wa kutosha