Siha Njema

Madhimisho ya Siku ya Kuchangia Damu Dunian

Sauti 09:45
Adenike Ashogbon

Kila ifikapo tarehe 14 Juni 2014,dunia huaadhimisha siku ya wachangia damu duniani,Maadhimisho haya kimataifa yatafanyika nchini Sri Lanka wakati kitaifa yatafaniyika Mkoani Kigoma huku kauli mbiu ya mwaka huku kauli mbiu ya madhimisho ya mwaka huu “DAMU SALAMA UHAI WA MAMA”.Makala ya Siha Njema Juma hili itangazia juu ya madhimisho ya siku hii