Siha Njema

Ugonjwa wa Vichomi wangoza kwa vifo miongoni mwa watoto Afrika

Sauti 10:19
O gene NDM-1 foi identificado em bactérias, como Klebsiella pneumoniae (na foto) e Escherichia coli.
O gene NDM-1 foi identificado em bactérias, como Klebsiella pneumoniae (na foto) e Escherichia coli. AJC1/Flickr

Ugonjwa wa Vichomi yaani nimonia umetanjwa kuwa ni miongoni mwa magonjwa ambayo husababisha vifo vingi miongoni mwa watoto walio chini ya miaka mitano duniani huku watototo zaidi ya milioni moja hupoteza maisha kila mwaka. Vifo ambayvo vinaweza kuzuilika. Makala ya Siha njema Juma hili itangazia juu ya Chanzo,Dalili zake na Tiba za ungonjwa huu