Siha Njema

Hifadhi endelevu ya Misitu Afrika mashariki

Sauti 09:24
Saratani Katika eneo katika Shingo ya Uzazi
Saratani Katika eneo katika Shingo ya Uzazi DR

Kwa mujibu wa takwimu mbali mbali imegudulika zaidi ya asilimia 25 ya wanawake nchini Tanzania wako hatarini kupata ugonjwa wa Saratani ya shingo ya Uzazi katika maisha ya na kusababisha vifo kwa wanawake nchini. Basi Makala ya Siha Njmea Juma hili  itatupia jicho kuangazia juu ya Saratani ya shingo ya kizazi ambayo husababisha na mabadiliko ya chembe chembe hai zilizo juu au zinazofanana na shingo ya uzazi