Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Utunzaji wa Vyanzo Vya maji Tanzania

Imechapishwa:

Bara la Afrika limejaliwa kuwa na vyanzo vya maji vya aina mbalimbali. Vyanzo hivyo ni pamoja namito,Maziwa, Ardhi oevu na maji chini ya ardhi.Lakini hivi karibuni kumekwepo na uharibifu mkubwa wa vyanzo hivi vya maji kutokana na ukataji wa miti katika vyanzo hivi vya maji kwajili ya kuni pamoja na kuendesha kilimo katika kingo za vyanzo jivi vya maji,Makala ya Mazingira leo Dunia Yako Kesho inagazia juu ya chanzo na athari za uharibifu wa vyanzo hivi vya maji

Moja ya chanzo cha maji
Moja ya chanzo cha maji Reuters
Vipindi vingine