Siha Njema

Umuhimu wa Uzazi wa mpango kwa Afya ya Mama

Sauti 05:29
Tatizo la Uzazi wa Mpango barani africa
Tatizo la Uzazi wa Mpango barani africa AFP PHOTO/Steve TERILL

Uzazi wa mpango au nyota ya kijani ina unafaida nyingi sana katika jamii yetu.Kutokana na umuhimu huo , akina mama wametakiwa kujiunga na uzazi wa mpango na kunasaidia kuujipange, mtoto wa kwanza aje lini, wa pili aje lini na namba ya mwisho ni ngapi? Ni rahisi ukizijua njia za uzazi wa mpango