Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Ufugaji wa kisasa wa Nyuki kusaidia Kutunza Mazingira
Imechapishwa:
Cheza - 10:49
Ufugaji wa nyuki wa kisasa katika nchi za afrika mashariki kumesaidia kuzalisha kipato kwa wafugaji, lakini kwa nchi ya Tanzania ufugaji huo una madhumuni mawili ambayo ni kusaidia katika kuingiza kipato wakati huo huo kuhifadhi mazingira. Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho Jum a hili inagazia juu ya mchango wa ufugaji wa Nyuki wa Kisasa