Watu 800,000 hujitoa uhai kila mwaka duniani: WHO
Imechapishwa:
Sauti 10:26
Leo hii katika kipindi cha Habari Rafiki, tunajadili ripoti ya Shirika la Afya duniani WHO kuwa zaidi ya watu 800,000 hujitoa uhai kila mwaka duniani.Nini kinachosabisha hali hii ? Tunajadili.