Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mchango wa Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira (NEMC) katika Utuzaji wa mazingira

Sauti 10:29

Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) la Tanzania lilianzishwa kwa Sheria ya Mazingira (Sura ya 191) Kifungu cha 16.Ebby Shaban Abdallah Kupitia Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho juma hili anagazia juu ya majukumu na changamoto ambazo zinaedelea kulikabili baraza hilo