Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Uganda,Rwanda na Jamuhuri ya Kongo Kupamabana na Ujagili
Imechapishwa:
Cheza - 10:30
Nchi za Afrika mashariki zimeeendelea kuweka mikakati ya kupambana na ujangili na uvamizi wa misitu ya hifadhi ya serikali.Nchi ya Uganda kwa kushirikiana na Rwanda na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ilianda mkutano wa madau wa mazingira ilikuwezesha kuzuia ujangili,Makala ya Mazingira Leo Dunia Yako keshpo inatupia jicho juu ya mkutano huo