Siha Njema

Madhara ya Matumizi ya Vipodozi

Imechapishwa:

Tafiti mbali mbali zimebanisha kuwa kuna zaidi ya asilimia 52 ya wanawake hutumia vipodozi mbali mbali vyenye viambatishi vyenye sumu ambavyo vinaweza kusababishia matatizo mbalimbali katika afya ya binadamu,ikiwemo ugonjwa wa kansa ya ngozi, figo pamoja na kutoshika ama kuharibika kwa mimba kwa mama mjamzito.Makala ya Siha Njema itangazia juu ya Athari hizo juma hili 

Wikimedia Commons