Habari RFI-Ki

Muungano wa wahudumu wa afya Kenya, wamepinga mpango wa serikali kusaidia Makahaba

Imechapishwa:

Muungano wa wahudumu wa afya nchini Kenya, unapinga mpango wa serikali ya Kenya kutoa Shilingi za Kenya Bilioni 4, kuwanunua Makahaba dawa za kuzuia kuambukizwa virusi vya HIV.Muungano huo umedai kuwa haiwezekani kiasi hicho chote cha fedha kikatumiwa kugharamia mpango huo kwani Ukahaba nchini humo ni haramu,Makala ya Habari Rafiki hii leo inagazia juu ya hatua hiyo.

Les partisans de l’opposition dans les rues de Nairobi, Kenya, le 7 juillet 2014.
Les partisans de l’opposition dans les rues de Nairobi, Kenya, le 7 juillet 2014. REUTERS/Thomas Mukoya