Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho
Uharibifu wa Mistu Kwenye Vyanzo vya maji
Imechapishwa:
Cheza - 09:50
Uharibifu wa mazingira ni moja kati ya tishio kubwa la uhai wa binadamu ,Nchi Nyingi zinakabiliwa na uharibifu mkubwa wa vyanzo vya maji na ardhi hali ambayo imechangia katika uharibifu wa vyanzo vya maji na misitu .