Hali ya Hifadhi ya Mazingira katika Mbuya ya Virunga
Imechapishwa:
Sauti 09:48
Hifadhi ya Virunga iliyopo nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ni miongoni mwa hifadhi kubwa ambapo hupatikana sokwe wakubwa barani Afrika.Hifadhii hii inakadiria kuwa na ukubwa wa eneo la kilomita za mraba 7800 likiwa chini ya milima ya Virunga na safu ya milima Rwenzori.Makala ya Mazingira leo Dunia Yako kesho juma hili inagazia juu ya hali ya uhifadhi wa Mazingira katika mbunga hiyo