Kuiga kwa utamaduni na maadili ya kimagharibi kumekuwa kukitajwa kuchangia wa kiasi kikubwa katika Kuporomoka kwa maadili katika jamii yetu Makala yako ya mazingira leo Dunia yako kesho kwa juma hili itangazia ni jinsi gani maadili ya utunzaji wa Mazingira kunavyoweza kuchangia katika utunzaji wa Mazingira