Siha Njema
Fahamu umuhimu wa mahudhurio ya kliniki kwa mjamzito anaishi na VVU
Imechapishwa:
Cheza - 10:03
Hakuna tiba ya VVU, lakini kuna madawa mengi ambayo yanaweza kukusaidia mtu kuwa na afya nzuri,na kwa kutumia dawa hizi na kuzuria klinki mara kwa mara wakati waujauzito, kunasaidia mama mjamzito katika kupunguza hatari ya kumuambukiza mtoto hatari VVU.Makala ya Siha Njema jumaa hili inagazia juu ya Faidia ya Klinik kwa mama Mjamzito ambaye ni muathirika wa VVU katika kupunguza hatari ya kumuambukiza mtoto wake VVU