Siha Njema

Madhimisho ya Siku ya Kimatifa ya Malaria Duniani

Sauti 10:53
Au Cambodge, le grand succès du contrôle sur le paludisme, où il est en nette régression, est dû en grande partie à la distribution de moustiquaires imprégnés d'insecticide.
Au Cambodge, le grand succès du contrôle sur le paludisme, où il est en nette régression, est dû en grande partie à la distribution de moustiquaires imprégnés d'insecticide. Getty Images AsiaPac/Paula Bronstein

Kila ifikapo tarehe 25 mwezi wa Nne Dunia Huadhimisha ni siku ya kimataifa ya mapambano dhidi ya ugonjwa wa Malaria. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani, WHO, mataifa sita ya Afrika huenda yakautokomeza kabisa ugonjwa huo ifikapo mwaka 2020.SihaMakala ya Siha Njmea inagazia juu ya Jitihada za kupamaba na Ugonjwa huo wakati ikijianda kuadhimsha siku ya Kimatia ya Malaria