Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Athari za Mazingira Zitokanazo na Kuzimwa kwa Simu Feki za Mkononi Tanzania

Sauti 10:40
Simu za Mkononi
Simu za Mkononi REUTERS/Kham

Serikali ya Tanznaaia kupitia Mamlaka ya Mawasiliano (TCRA) ilipiga marufuku matumizi ya simu feki za mkononi kuanzia Juni 16 mwaka huu.Hali hii imesababisha Watanzania wengi kulalamikia uamuzi huo wa serikali kupitia mamlaka yake hiyo. Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho inagaziia juu ya athari za simu feki kwa kiafya pamoja na mazingira.