Siha Njema

Mambo Muhimu ya Kufahamu juu ya Ugonjwa wa Kifua kwa Watoto

Sauti 10:35
Getty/ ERproductions Ltd

Tatazo la Kifua na Mafua ni miongoni mwa magonjwa sugu ambao huathiri watu wengi,Ingawa magonjwa haya huathiri watu wa rika zote, lakini mara nyingi huathiri zaidi watoto Makala ya Siha Njmea inagzia juu ya Ugonjwa wa Kifua kwa watoto na naama ya kutibu magonjwa hayo