Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Sheria za Kimataifa za Utunzaji wa Mazingira

Sauti 09:57
中国上海附近的工厂
中国上海附近的工厂 REUTERS/Aly Song

Harakati za kuhifadhi, kulinda na kusimamia kikamilifu utunzaji wa mazingira na matumizi ya rasilimali mbalimbali duniani limekuwa hai sana katika miaka ya karibuni hasa miaka ya 2000 na kuendeleahii ni kutokana na athari za Mazingira ambazo zimedelea kushudiwa.Kufuatia hali hii serikali mbalimbali zikiwemo Afrika Mashariki na Kati zililazimika kuingia katika harakati kubwa za kuleta maboresho au marekebisho mbalimbali ya mifumo, sera na sheria zinazohusu mazingira pamoja na kuhakikisha kuwa wanajamii wanahusika kikamilifu katika suala zima la uhifadhi wa mazingira.Makala ya amazingira Leo Dunia yako Kesho,inagazia juu ya Sheria mbali mbali za Kimatifa