Siha Njema

Fahamu Athari za Kiafya za Soda katika Mwili wa Binadamu

Sauti 09:46
Sugary beverages sold in California would be required to carry warning labels for obesity
Sugary beverages sold in California would be required to carry warning labels for obesity Reuters/Sam Hodgson

Tafiti zimebanisha mamilioni ya wanaafrika mashariki na Kati na watu Duniani kwa ujumla wanaotumia vinywaji vya aina ya soda ipo hatarini Kupata matatizo ya Kiafya.Hii ni kutokana na vinywaji hivi kuwa kubainika kuwa na chembechembe zenye kemikali za Sumu.Makala yetu ya Siha Njema inagazia juu ya athari hizo