Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi

Sauti 10:14
Champ de maïs en Afrique du Sud.
Champ de maïs en Afrique du Sud. Waldo Swiegers/Bloomberg via Getty Images

Athari za mabadiliko ya tabianchi kwa kiasi kikubwa zinatokana na uharibifu mkubwa wa mazingira, na tayari athari zake zimeanza kujitokeza katika maeneo mbalimbali katika nchi zetu za Afrika Mashariki na Kati.Kipindi chetu cha Mazingira Leo,Dunia Yako inagazia juu ya athari hizo haswa kwa upande wa ongezeko la Joto hali ambayo inatokana na kuharibika kwa tabaka hilo, mionzi mingi zaidi ya jua, huifikia dunia na kurudi angani mara moja kuliko ilivyo kawaida, hali inayosababisha mabadiliko ya tabia nchi yasiotarajiwa, hivyo kusababisha madhara kwa viumbe waishio katika ulimwengu huu.