Siha Njema

Mchango wa Tiba za Asili

Sauti 10:56
Plantes médicinale chinoises
Plantes médicinale chinoises Getty Images

Tiba za asili ni hali ya kutumia mitishamba isiyokuwa na dawa za kemikali a wakati huo huo ni kama chakula cha kujenga mwili na viini vya damu uwa imara kwa manufaa ya afya kimwili na kupata nguvu pindi ukitumia kama tiba kwani ufanya kazi mbili kutibu na kujenga mwili wakati huo huo.Makala ya Siha Njema inagazia juu ya Matumizi ya Tiba ya Asili na Faida zake