Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Faida Za Kilimo Cha Mabeseni Katika Kutunza Mazingira

Sauti 10:20
Mkulima wa Kilimo cha Mabeseni
Mkulima wa Kilimo cha Mabeseni Photo: Howard Burditt/Reuters

Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi wa Matifa mengi barani Afrika, Kwa kutambua umuhimu wa kilimo, Nchi ya Tanzania imekuwa mstaari wa mbele katika kuendeleza kilimoBasi Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako Kesho kwa juma hili,itangazia juu ya Faidia ya kilimo cha aina ya Mabesi kwa wakulima wadogo wadogo