Siha Njema

Changamoto ya Saratani ya Ngozi Kwa Watu Wanoishi na Albinism

Sauti 10:48
Wasamaria wema wakiwasaidia kula, watoto wenye Ualbino ambao sehemu ya viungo vyao imekatwa, Tanzania
Wasamaria wema wakiwasaidia kula, watoto wenye Ualbino ambao sehemu ya viungo vyao imekatwa, Tanzania Under the same Sun

Leo Nchi za Afrika Mashariki na Kati wanaungana na ulimwengu kuadhimisha siku ya kimataifa ya kueneza uwelewa ya watu wenye Ualbino.Wakati Dunia ikiwa inadhimisha siku hii,tafiti zinaonesha watu wenye wengi wao wapo hatarini ya kupata magonjwa ya saratani ya ngozi, kutokana na kutokuwa na elimu ya afya bora na utunzaji wa ngozi.