Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mifuko ya Plastiki Kupigwa Marufuku Nchini Tanzania.

Sauti 10:13
Une femme nettoie des sacs en plastique, en banlieue d'Abidjan.
Une femme nettoie des sacs en plastique, en banlieue d'Abidjan. AFP/ISSOUF SANOGO

Serikali ya Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania imepiga marufuku matumizi ya mifuko yote ya pastiki nchini kutona madhara ya Kimazingira na kiafya itokanayo na Mifuko hiyo.Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako Kesho kwa juma hili inatupia jicho kuangazia juu ya maadhara inayosababishwa na mifuko ya plastik