Siha Njema

Fahamu Umuhimu wa Tohara Kiafya

Sauti 10:31
Des jeunes hommes de la tribu Xhosa dans une école d'initiation à Libode, dans la province du Cap, en novembre 2009
Des jeunes hommes de la tribu Xhosa dans une école d'initiation à Libode, dans la province du Cap, en novembre 2009 AFP PHOTO / ALEXANDER JOE

Hakika msikilizaji wetu neno Tohara sio geni masikioni mwa watu wengi wa jamii za Kiafrika na hata jamii nyingi duniani pia. Kwa kifupi tu Tohara ni hali au kitendo ambacho hufanywa na jamii nyingi kama sehemu ya kuhakikisha mtu anakuwa na afya Njema.Japo kuwa tohara kwa wanaume katika sehemu nyingi katika Bara la Afrika ni bure lakini bado watu wengi hawafanyiwa tohara,Makala ya Siha Njema kwa mara nyingine inagaziajuu ya Umhimu wa Tohara