Siha Njema

Tatizo la Moyo na Tiba Yake

Sauti 09:58
Artificial heart, devised and designed by Carmat and engineers from EADS
Artificial heart, devised and designed by Carmat and engineers from EADS © Carmat/www.carmatsa.com

Tatizo la Moyo Kupanuka au kuwa Mkubwa ni Tatizo ambalo limendelea kuathiri watu wengi hivi karibuni  katika Kajamiii ZetuTatizo hili linatokana na moyo kupanuka,wengine huzaliwa nalo,kudhoofu kwa misuli ya Moyo na sababu nyingine.Makala yetu ya Siha Njema tunaangazia juu ya Dalili na Tiba ya maradhi ya hayo