Habari RFI-Ki

Uelewa wa watu wanaoishi na ulemavu wa ngozi, Albino

Sauti 10:01
Wasamaria wema wakiwasaidia kula, watoto wenye Ualbino ambao sehemu ya viungo vyao imekatwa, Tanzania
Wasamaria wema wakiwasaidia kula, watoto wenye Ualbino ambao sehemu ya viungo vyao imekatwa, Tanzania Under the same Sun

Leo ni siku ya Kimataifa ya kimataifa ya kueneza uelewa kuhusu watu wenye Ualbino, kote duniani.Barani Afrika hasa nchini Tanzania na Malawi, watu wanaoishi na ulemavu huu wamekuwa wakiishi kwa wasiwasi kwa hofu ya kuuawa na viungo vyao kutumiwa kwa maswala ya kishirikina.