Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Umuhimu wa Hifadhi Shirikishi Katika Hifadhi zaTaifa

Sauti 09:26
La mort de Cecil, le plus célèbre lion du Zimbabwe, tué par un chasseur américain, a provoqué un immense émoi aux Etats-Unis.
La mort de Cecil, le plus célèbre lion du Zimbabwe, tué par un chasseur américain, a provoqué un immense émoi aux Etats-Unis. REUTERS/A.J. Loveridge

Uwepo wa hifadhi mbali mbali za taifa pamoja na rasilimali zake katika mataifa yetu katika ukanda huu wa afrika Mashariki na kati,zimekuwa na mchango mkubwa katika mataifa yetu. 

Matangazo ya kibiashara

Hii ni Kutokana na hifadhi hizi, zimekuwa zikichangia kwa kisasi kikubwa katika kukuwa kwa uchumi kutokana na watalii kuzitembelea hifadhi hizo

Kutokana na hifadhi hizi kuwa na manufaa makubwa kwa serikali yetu,Serikali ya Tanzania imeazisha Usimamizi Shirikishi wa jamii katika maeneo haya,