Fahamu Kilimo Hai
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 10:40
Kilimo hai au organic farming ni aina ya kilimo ambacho huzigatia matumizi endelevu ya rasilimali za mazao ya kilimo pamoja na mifugo.Kilimo hiki hutumia mara nyingi aina ya mbolea isiyotengenezwa viwandani, na ni aina ya kilimo ambacho huzingatia utunzaji wa mazingira.Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako kesho jumaa hili inangazia juu ya Kilimo Hai na faida zake kwa Mazingira