Siha Njema

Chanzo na Tiba ya Maumivu Makali ya Tumbo wakati wa Hedhi (dismenorrhea)

Sauti 09:53
Mwanamke akiwa na Maumivu wakati wa hedhi
Mwanamke akiwa na Maumivu wakati wa hedhi

Tatizo la Maumivu wakati wa hedhi (period pains) au kitaalamu dismenorrhea,ni changamoto ambayo imekuwa ikiwasumbua Wanawake wengi wakati wa hedhi ,Maumivu haya hujitokeza sehemu ya chini ya tumbo au kiunoni wakati yai likiwa linatoka katika mirija ya ovari katika kizazi cha mwanamke na katika wakati huu uwezo wako wa kushika mimbaMakala ya Siha Njema inagazia Juu ya Chanzo na Tiba ya Tatizo Maumivu wakati wa hedhi