Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Kilimo cha kijani ( Green house) na Faida zake Kwa Mazingira

Sauti 10:21
Kilimo cha Kijani cha Mboga Mboga
Kilimo cha Kijani cha Mboga Mboga REUTERS/Kyodo

Kilimo ndio uti wa mgongo wa uchumi katika mataifa mengi katika bara la Afrika,hii ni kutokana na sekta hiyo imekuwa na mchango mkubwa katika kuchangia pato la taifa haswa kupitia mazao ya BiasharaKupitia Makala yetu juma hili tutangazia juu ya Kilimo cha ndani ya nyumba ya kijani ( Green house) naama Teknolojia hii inavyotumika hasa kuikinga mimea usiathiriwe na mazingira haribifu ya hali ya hewa