Siha Njema

Fahamu juu ya Uvumbuzi wa teknolojia ya Chujio Maalum la Kutibu na kuondoa Kemikali Kwenye Maji

Sauti 11:12
Mama Akitumia Maji yasio Salama kutokana na Changamoto ya Ukosefu wa Maji Safi na Salama
Mama Akitumia Maji yasio Salama kutokana na Changamoto ya Ukosefu wa Maji Safi na Salama Getty Images/Jeff Hutchens

Ukosefu wa kwa huduma ya maji safi na salama mijini na vijijini kunasababisha wananchi wengi kutumia maji yasiyo salama, ambayo ni chanzo cha magonjwa kama kipindupindu.Kipindi chetu cha Siha Njema kwa jumaa hili kinagazia juu ya uvumbuzio wa teknolojia mpya ya Dr Askwar Hilonga,Chujio maalum la maji ambayo linatumia kuua wadudu na kuondoa chemikali mbali mbali zilizoko kwenye maji.