Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Juu ya Madhimisho ya Wiki ya 6 ya Maji Barani Afrika

Imechapishwa:

Tanzania ni Mwenyeji maadhimisho ya 6 ya wiki ya Maji Barani Afrika na Mkutano wa 10 wa Baraza la Mawaziri wa Maji wa Nchi za Afrika Mkutano huo unakutanisha waadu wa masula ya maji zaidi ya 1000 kutoka mataifa mbali mbali mbalini afrika huku Kauli mbiu ya mkutano huo mwaka huu ni Kufikia lengo la maendeleo Endelevu Juu ya usalama wa Maji na usafi wa mazingira” Makala ya Mazingira Leo,Dunia Yako Kesho kwa jumaa hiii inajikita kuangazia juu ya Tija la Kongamano hilo la 10 la maji Barani Afrika,katika kusaidia kukabiliana na chanagamoto za Maji

Madhimisho ya Wiki ya Maji Barani Africka
Madhimisho ya Wiki ya Maji Barani Africka AFP PHOTO/ SIA KAMBOU