Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Changamoto ya Utiririshaji wa Maji Taka Mjini na Naama ya Kukabiliana Nayo

Sauti 10:57
Mfumo Mbovu wa Maji Taka Huchangia katika Uchafuzi wa Mazingira
Mfumo Mbovu wa Maji Taka Huchangia katika Uchafuzi wa Mazingira REUTERS/Mohamed Azakir TPX

Takwaimu za shirika la Afya Duniani zinaonesha kuwa kila sekunde 20 mtoto huafariki kutokana na kipindu pindi au na magonjwa yanayosababishwa na maji machafu.Basi Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho Kwa Juma hili inagazia juu ya jitihada Nchi za Afrika Masharika Na Kati za kutatua tatizo la maji taka na taka ngumu ikiwemo ujengaji wa miundombinu ya kisasa ya kuhifadhi maji taka na kusafisha.