Siha Njema

Fahama Juu ya Tatizo la Msongo wa Mawazo, Dalili Na Tiba Zake

Sauti 09:19
REUTERS/Noor Khamis

Tatizo la Msongo wa Mawazo (stress) au Mfadhaiko kama wengi walivyozoea ni tatizo ambalo limekuwa likiwakumba watu wengi hivi karibuni,haswa watu wanoishi maeneo ya mijiniHali hii imekuwa ikichangia kwa kiasi kikubwa kuzorotesha afya na kusababisha vifo vya watu wengi vingiBasi kupitia Makala ya Siha Njema kwa jumaa hili itatupia jicho kuangazia juu ya Tatizo la Msongo wa Mawazo, Dalili Na Tiba Zake