Fahamu Athari Za Mabadiliko ya Tabia Nchi Kwa Viumbe vya baharini na Matumbawe

Sauti 10:25
Viumbe vya baharini na Matumbawe
Viumbe vya baharini na Matumbawe (Photo : Roméo Gacad/AFP)

Wataalamu mbali mbali wa masuala ya wa sayansi ya baharini wamedai ya kwamba n matumbawe katika mwambao wa bahari ya hindi, haswa kisiwani Zanzibar yapo hatari ya kutoweka kutokana na uharibifu mkubwa wa Mazingira unaotokana na shuhuli za kila siku za binadamuKipindi chetu cha Mazingira Leo inagazia juu ya tahri za Mabadiliko ya Tabia Nchi kwa ustawi wa viumbe vya baharini na matumbawe ambayo ndiyo makaazi makubwa ya samaki