Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu Changamoto za Mazingira zinazo likabili Ziwa Victoria

Sauti 10:09
Uvuvi katika ziwa Lake Victoria
Uvuvi katika ziwa Lake Victoria sarahemcc/Wikimedia Commons

Ziwa Victoria lililopo Kanda ya Ziwa ni miongoni mwa vyanzo vikubwa vya maji na maendeleo ya nchi nyingi katika ukanda wa Afrika Mashariki , nyingine kama vile Tanzania Uganda, Rwanda, Burundi, Kenya na Misri inayopata huduma ya maji ya Mto Nile unaoanzia kwenye ziwa hili la kwanza kwa ukubwa barani Afrika na la pili kwa ukubwa duniani. Kipindi cha Mazingira leo Dunia Yako kesho kwa juma hili inagazia juu ya changamoto zinazolikabili ziwa Victoria