Fahamu Faida na Athari za Kimazingira zitokanazo na kuhamisha Mji Mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam

Sauti 10:19
Makutano ya barabara ya mwalimu Nyerere mjini Dodoma, Tanzania
Makutano ya barabara ya mwalimu Nyerere mjini Dodoma, Tanzania DR

Uamuzi wa serikali ya jamhuri wa Mungano wa Tanzania kuhamia mji mkuu Dodoma kutoka Dar es Salaam imezua mjadala miongoni mwa watalaamu wa Masuala ya Mazingira.Basi wakati  ofisi ya Waziri Mkuu ikipanga kuhamia Dodoma mwezi Septemba,Makala yetu ya Mazingira Leo Dunia yako kesho inagazia juu ya Faida na Athari za Kimazingira kwa mjii wa Dodoma