Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia

Imechapishwa:

Ufugaji wa samaki wa kisasakwenye visima au mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani na Ufugaj huu wa samaki ni sawa kama ilivyo shughuli nyingine yoyote ya kiuchumi inahitaji usimamizi mzuri ili uweze kuwa na faida.Katika makala haya ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa juma hili itangazia kwa ujumla kwa juu ya ufugaji wa samaki wa kisasa na mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa 

Ufugaji wa Samaki wa Kisasa katika mabwawa
Ufugaji wa Samaki wa Kisasa katika mabwawa AFP PHOTO / SEYLLOU
Vipindi vingine