Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Fahamu juu Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi

Sauti 10:56
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi,Mjini Marakech,Morocco
Mkutano wa Mabadiliko ya Tabia Nchi,Mjini Marakech,Morocco REUTERS/Youssef Boudlal

Mkutano wa 22 wa nchi wanachama wa mkataba wa mabadiliko ya tabianchi umeanza huko Marrakesh, Morocco, ikiwa ni siku chache tu baada ya kuanza rasmi kutekelezwa kwa mkataba wa Paris kuhusu mabadiliko ya tabianchi. Ambapo kwenye mkutano huo mada kadhaa zimejadiliwa zikiwamo usaidizi kwa Afrika katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi, uhakika wa chakula na nafasi ya jinsia na vijanaMakala ya Mazingira Leo Dunia Yako kesho kwa Juma hili inagazia juu hali ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na Athari zake