Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Sehemu ya Pili:Fahamu juu ya Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa

Sauti 09:59
Ufugaji wa Samaki wa kisasa kwenye Mabwawa
Ufugaji wa Samaki wa kisasa kwenye Mabwawa © Getty/Cultura Exclusive/WALTER

Ufugaji wa samaki wa kisasa kwenye mabwawa ya kuchimbwa umekuwa ukishamiri duniani kote inchi kama .Niwazi tumeona baadhi ya inchi nyingi zikizidi kuzalisha nafasi nyingi za ajira kwa shughuli hizi pamoja na kukuza kipato cha mhusika mmoja mmoja, jamii flani na taifa kwa ujumla.Katika kuiangalia fursa hii katika sehemu yetu ya pili na ya mwisho ya makala yetu ya Mazingira Leo Dunia Yako Kesho kwa juma hili tutaangalia juu ya mbinu muhimu za kuzingatia wakati wa kuanzisha mradi wa ufugaji wa samaki wa kisasa